Sun, 27 Nov 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Simba SC wanaendelea kushusha mvua ya magoli kwa wenyeji Polisi Tz, Uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Moses Phiri anaiandikia Simba bao la tatu likiwa ni bao lake la pili katika mchezo wa leo.
Phiri anatimiza bao lake la nane mpaka sasa katika Ligi ya NBC akimfukuzia kinara Fiston Mayele mwenye Mabao 10.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live