Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 60' Polisi Tz 0-3 Simba SC

Phiri Second Goal.jpeg Moses Phiri akishangilia bao lake la pili

Sun, 27 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wanaendelea kushusha mvua ya magoli kwa wenyeji Polisi Tz, Uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Moses Phiri anaiandikia Simba bao la tatu likiwa ni bao lake la pili katika mchezo wa leo.

Phiri anatimiza bao lake la nane mpaka sasa katika Ligi ya NBC akimfukuzia kinara Fiston Mayele mwenye Mabao 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live