Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 60' Chama, Morrison Waitawala Manungu

Simba Second Half Mtibwa 0- Simba 0

Sat, 22 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa na Simba SC, hivi sasa ni dakika ya 60 huku milango ikiwa migumu kwa kila timu.

Mabadiliko ya Simba kuwaingiza Chama na Morrison yameleta uhai mkubwa kwa upande wa Simba kwani wachezaji hawa wanapeleka mashambulizi kwa wingi katika lango la Mtibwa.

Tusubiri kuona nani atakuwa wa kwanza kupata goli katika mchezo huu wenye ushindani mkubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live