Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 50' Simba 2-0 Mtibwa

Pape Sakho Vs Mtibwa.jpeg Pape Sakho akipachika bao la Pili

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika tatu tu tangu kuanza kwa kipindi cha Pili simba wanapata bao la pili mbele ya wakata miwa kutoka turiani timu ya Mtibwa Sugar.

Dakika tatu tu tangu kuanza kwa kipindi cha Pili simba wanapata bao la pili mbele ya wakata miwa kutoka turiani timu ya Mtibwa Sugar. Ni Pape Ousmane Sakho anawainua wana Msimbazi dakika ya 48 ya mchezo kwa bao safi akimuacha mlinzi wa Mtibwa hana la kufanya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live