Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 5' Simba 1-0 KMC, Phiri aendelea kuwasha moto

B573E613 26B8 4227 AC32 6D35F1081156.jpeg Phiri aitanguliza Simba SC

Wed, 7 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji raia wa Zambia Moses Phiri ndani ya dakika 2 tangu mwamuzi Ramadhan Kayoko kupuliza kipyenga cha kuashiria kuanza kwa mchezo anaiandikia Simba bao la uongozi.

Phiri aliwahadaa walinzi kadhaa wa KMC kabla ya kuachia shuti kali lililotinga wavuni na kumuacha mlinda mlango wa KMC asijue la kufanya.

Simba wameanza mchezo wa leo kwa kasi na yote ni katika kuhakikisha wanaondoka na alama tatu katika mchezo huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live