Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 44' Yanga 1-0 Namungo

Yanga Bao 1 Yanga inaongoza kwa bao 1-0

Sat, 4 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati Dickson Job, anaipa Yanga bao la uongozi mwishoni mwa kipindi cha kwanza.

Mlinzi wa kati Dickson Job, anaipa Yanga bao la uongozi mwishoni mwa kipindi cha kwanza. Ulikuwa ni mpira wa kona uliopigwa na mlinzi wa kulia Djuma Shaban ukamkuta Job aliekuwa ndani ya box na kumuacha Mlinda mlango wa Namungo, Deogratius Munishi akiwa hana la kufanya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live