Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 37' Dodoma Jiji 0-2 Yanga

DOM VS YANGA Mchezo hivi sasa ni dakika ya 37 Yanga wakiongoza kwa magoli 2-0

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bado Yanga wanaendelea kutakata katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Golikipa wa Dodoma anajifunga baada ya kushindwa kuhimili shuti kali liliachiwa na Kiungo wa Yanga Zawadi Mauya.

Bado Yanga wametawala sehemu kubwa ya ,mchezo kwa dakika hizi 37 za kipindi cha kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live