Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 36' Yanga 1-0 Mtibwa Sugar

Djuma Shaban Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga

Tue, 13 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Djuma Shaban anawainua Wananchi katika Uwanja wa Mkapa baada ya majaribio kadhaa waliyofanya Yanga kusaka goli la uongozi.

Ulikuwa ni mpira wa adhabu uliopigwa na beki Djuma Shaban baada ya Farid Musa kufanyiwa madhambi katika eneo la hatari la Mtibwa Sugar.

Kabla ya kuandika bao hili Yanga wamepoteza nafasi kadhaa za wazi zikiwemo mbili alizopoteza Feisal Salum.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live