Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 30' Yanga 0-0 Ihefu

Djugui Diarra Keeper Mlinda Mlango wa Yanga, Djugui Diarra

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 30 za kipindi cha kwanza zimekatika huku kukiwa hakuna timu iliyofanikiwa kuona lango la mwenzake mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Dakika 30 za kipindi cha kwanza zimekatika huku kukiwa hakuna timu iliyofanikiwa kuona lango la mwenzake mchezo wa Ligi Kuu Bara. Yanga wanaonekana kufanya mashambulizi ya mara kwa mara langoni mwa Ihefu huku Ihefu wao wakitumia muda mwingi kujilinda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live