Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 30' Mtibwa 0- Simba 0, Manungu kwa Moto

FJtUvF WYAA7wfw Mchezo unaendelea na hakuna timu iliyopata goli

Sat, 22 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manungu pa moto kweli kweli. Burudani ya Soka inayotolewa baina ya Mtibwa na Simba si ya kitoto.

Mtibwa wanaonekana kuwa tishio kwa kulazimishha kukutana na Aishi Manula huku Simba wao wakiwa bado hawajafanya shambulizi lolote la hatari kwa dakika hizo 30, licha ya kuanza na washambuliaji wake hatari wawili.

Hali ya uwanja sio mbaya kupitiliza japokuwa kuna baadhi ya maeneo yana tope na hali ya umaji maji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live