Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 25' Singida 1-0 Simba

Deus Kaseke DD Deus Kaseke, mfungaji wa bao la Singida

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Singida Big Stars wanapata uongozi dakika za mwanzoni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba SC.

Singida Big Stars wanapata uongozi dakika za mwanzoni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba SC. Ni Deus Kaseke anaewapa uongozi Singida dakika ya 11 akimalizia pasi safi ya Said Ndemla.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live