Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 25' Polisi TZ 0-0 Simba

Simba Polisi Tz Matokeo: Polisi Tanzania 0- 0 Simba dakika ya 25

Sun, 10 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka dakika 25 za Kipindi cha kwanza zinakatika, hakuna timu iliyofanikiwa kupata angalau goli la kuongoza mchezo wa Ligi Kuu tanzania Bara kati ya wenyeji Polisi Tanzania dhidi ya Simba SC.

Kila timu inafanya jitihada za kushambulia kuhakikisha wanapata goli la uongozi kabla ya kwenda mapumziko.

Golikipa wa Simba, Beno Kakolanya ameondoa hatari nyingi kutoka kwa Polisi Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live