Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 20' Yanga 1-0 Namungo

FRCrv0YXoAIXt6C Mayele akishangilia goli la uongozi la Yanga

Sat, 23 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fiston Kalala Mayele anawatanguliza Wananchi katika Dimba la Mkapa kwa goli lake la dakika ya 17.

Makosa ya Mlinzi wa Namungo kushindwa kucheza Mpira kuwagharimu na kuizawadia Yanga bao la uongozi.

Yanga wameshafanya majaribio kadhaa langoni mwa Namungo kwa dakika hizi takribani 20.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live