Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 13' Dodoma Jiji 0-1 Yanga, Ambundo akiwatanguliza Yanga

FSzRGZjWYAAGTU Yanga wanaongoza kwa Goli 1-0

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tayari Yanga wanapata goli la uongozi ndani ya dakika 11 za Kipindi cha kwanza likiwekwa kimiani na Dickson Ambundo kwa shuti kali la mguu wa kulia.

Tayari Yanga wanapata goli la uongozi ndani ya dakika 11 za Kipindi cha kwanza likiwekwa kimiani na Dickson Ambundo kwa shuti kali la mguu wa kulia. Ambundo alipokea safi safi kutoka kwa Jesus Moloko, akamaliza kwa kupachika mpira wavuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live