Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 10' Simba 1-0 Singida Big Stars

Baleke Goal Baleke akiifungia Simba bao la uongozi

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wanauanza mchezo kwa kasi na usajili mpya mshambuliaji Jean Baleke anaitanguliza Simba kwa bao la uongozi.

Baleke anafunga bao lake la pili Ligi Kuu Bara akimaliza mpira wa faulo uliopigwa na Clatous Chama.

Simba wametawala sehemu kubwa ya mchezo kwa dakika hizi chache tangu kuanza kwa mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live