Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote michezo ya Ligi Kuu Disemba 24 (+Video)

Ligi Review Magoli yote yaliyofungwa Ligi Kuu Disemba 23

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jana Disemba 23, Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) imeendelea kwa michezo miwili ambayo yote ilishuhudia yakipatikana magoli.

Geita Gold FC vs Polisi Tanzania

Katika mchezo huu Geita waliibuka na ushindi wa Goli 1-0, na kuwaduwaza maafande hao wa Ligi Kuu.



Azam FC vs Ruvu Shooting

Matajiri wa Jiji, Azam FC waliibuka na ushindi mnono wa magoli 4-0.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live