Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote, Simba vs Dodoma Jiji (+Video)

Video Archive
Mon, 3 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC jana Oktoba 2 kiliwakaribisha Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo ulipigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na wenyeji wakaondoka na alama tatu baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-0.

Tanzaniaweb imekusogezea matukio yote muhimu katika mchezo huo, tazama video.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live