Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote Mbeya City vs Mtibwa Sugar (+Video)

Video Archive
Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 14 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja Sokoine Jijini Mbeya.

BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 14 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja Sokoine Jijini Mbeya. Kwa ushindi huo, Mbeya City inafikisha pointi 24 na kusogea nafasi ya tisa ikizidiwa pointi moja na Mtibwa Sugar inayoshika nafasi ya nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live