Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote Mbeya City vs Dodoma Jiji (+Video)

Video Archive
Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Mabao ya Dodoma Jiji FC leo yamefungwa na Christian Ziggah dakika ya 17 na Zidane Sereri dakika ya 70, wakati la Mbeya City limefungwa na Eliud Ambokile dakika ya 90 na ushei.

Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 16 na kusogea nafasi ya 11, wakati Mbeya City wanabaki na pointi zao 20 za mechi 16 nafasi ya nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live