Fri, 4 Feb 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Usiku wa Jna Simba iliikaribisha Timu ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Mkapa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia ligi) 2021/2022.
Mchezo huo ni wa raundi ya 14, ambapo Simba waliibuka na ushindi wa goli 1-0 lililowekwa kimiani na Meddie Kagere.
Penati hiyo ambayo imelalamikiwa na wengi baada ya kuonekana mchezaji wa Prisons akiinua mkono kuukwepa mpira.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live