Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama Magoli yote Yanga vs Dodoma Jiji (+Video)

Mashabiki Yanga Mashabiki wa Dar Young Africans

Sat, 1 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania, Dar Young Africans wameitandika Dodoma Jiji magoli 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Magoli ya Yanga katika mchezo huo yalifungwa na Fiston Mayele, Jesus Moloko, Justine aliejifunga na Kiungo Khalid Aucho.

Katika mchezo huo Yanga waliutawala mchezo kwa kiasi kikubwa huku Yannick Bangala akipiga pasi nyingi zilizofika.

Tazama Magoli yote hapa chini uone ufundi wa Yanga;





Chanzo: www.tanzaniaweb.live