Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama Magoli yote Coastal vs Namungo (+Video)

FJyqTjMXoAEJ9La Namungo iliibuka na ushindi wa Magoli 3-1

Mon, 24 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Kukubali kichapo cha magoli 2-0 wiki iliyopita kutoka kwa Yanga, Jumapili ya Jana wagosi wa kaya, Coastal Union wamekubali tena unyonge katika dimba la mkwakwani Jijini Tanga.

Mbele ya wenyeji wa Kusini, Namungo FC, Coastal wamekubali kichapo cha magoli 3-1.

Mabao ya Namungo FC yamefungwa na washambuliaji Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 38 na mzawa, Relliant Lusajo mawili dakika ya 81 na 85, wakati bao pekee la Coastal alijifunga Abdulmik Zacharia dakika ya 46.

Tazama hapa chini kuona magoli yote katika mchezo huo;





Chanzo: www.tanzaniaweb.live