Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza vs Tabora United

Yanga Vs Dodoma Jiji Saa 1 #NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza vs Dodoma Jiji

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Tabora United leo katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma saa 1:00 usiku.

Yanga iko nafasi ya Pili katika msimamo wa Ligi wakiwa na alama 27 baada ya michezo 10.

Azam ndio vinara wa Ligi wakiwa na alama zao 31 huku wakiwa na michezo 13 wa;liyocheza.

Kikosi cha Yanga kinachoanza Leo;

Diarra

Kibwana

Kibabage

Bacca

Job

Sure Boy

Moloko

Mudathir

Musonda

Aziz KI

Maxi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: