Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCDERBYUPDATES: Half Time, Simba 0- Yanga 0

LIVE Simba Vs Yanga Beki wa Simba Shomari Kapombe akikabiliana na Feisal

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha kwanza zimekamilika huku timu zote zikiwa zimekwenda mapumziko pasipo kupata goli la kuongoza.

Beki wa Simba Joash Onyango Achieng amefanya kazi kubwa kwa dakika 45 za kwanza kuhakikisha anamdhibiti mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele.

amefanikiwa kwa kiasi kikubwa hasa ikizingatiwa ubora wa Mayele unajulikana pale ambapo unampa nafasi ya kuchez akatikia eneo la adui.

Viungo wa Yanga, Yannick Bangala na Khalid Aucho wamelikamata sawa sawa eneo la kati kati mwa kiwanja na kuwafichja Jonas Mkude na Kanoute.

Ngoja tusubiri dakika 45 za kipindi cga pili huenda kukapatikana goli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live