Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBC UPDATES: Half Time, Simba, Namungo hakuna mbabe

Simba Vs Nmungo (600 X 400) Mchezo wa Simba vs Namungo

Wed, 3 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bado hakuna alieweza kuliona lango la mwenzake ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza katika dimba la Mkapa Dar es Salaam, ambapo Simba wamewakaribisha Namungo FC.

Mchezo umetawaliwa na matumizi makubwa ya nguvu huku Simba wakitawala eneo kubwa la mchezo.

Simba wamekosa nafasi kadhaa za wazi ambazo pengine kama wangezitumia vyema labda wangekua mbele kwa magoli mawili.

Bernard Morisson muda mwingi amekuwa akiwasumbua mabeki wa namungo na anaonekana kuwa tishio.

Bila shaka kipindi cha pili walimu watakuja na mbinu mbadala kuhakikisha wanaibuka na ushindi kila upande.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live