Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NBC Primia Ligi, Too much Qualities

Pacome Chama Pc NBC Primia Ligi, Too much Qualities

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi ya NBC ni bora zaidi ya Ligi zote za Afrika Mashariki na kati, Ni Ligi bora kuliko Ligi zote za Ukanda wa SADC Ukitoka ya Afrika Kusini, Ni moja ya Ligi bora barani Afrika.

Sababu za ubora hipimwa na mengi moja wapo ni Daraja la Wachezaji wanaocheza (Thamani), Hali inayopelekea kupokea pesa nyingi kwenye kusaini na mshahara. Pesa inazunguka kwenye soka.

Ligi hii inachagizwa na uwepo wa TYCOONS Watu wenye msuli kiuchumi walioamua kuwekeza kwenye soka, Wanamwaga pesa jambo ambalo kwenye Ligi Nyengine kitendawili.

Ligi Ina Bakhresa, Mohamed Dewji na GSM Kwa pamoja, (TOO MUCH MONEY) na Kuna klabu za madaraja ya Kati ambazo zina Watu wenye mkwanja waliojificha kwa maslahi mengine.

Yote 9, 10 Ligi hii imebarikiwa kua na timu mbili zenye msuli mkubwa kwenye kila eneo, ambazo zimepelekea mgawanyiko wa hisia kwenye mioyo ya Watanzania. Jambo ambalo wengine hawana kwa ukubwa huu.

Hapo pichani ni baadhi ya Wachezaji bora wanaoinakshi Ligi hii, Na sisi tunajivunia kua Hai tunaona kwa macho Mapinduzi ya Ligi yetu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: