Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzungu wa Yanga atoa neno kwa mara ya kwanza

Mzungu Yanga Kiungo mpya wa Yanga princess, Kaider Wilson

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mpya wa Yanga princess, Kaider Wilson kutoka Los Angeles Marekani amefunguka kwa mara ya kwanza.

"Ni mara yangu ya kwanza kucheza soka Africa, sikuwahi kufikiria ila namshkuru sana Baba yangu kwa kunipambania."

"Najua ni muda mrefu sana timu yetu haijabeba ubingwa wa ligi ya wanawake lakini msimu huu ni wakwetu nawaahidi mashabiki tutafanya vizuri,"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: