Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzungu "out" Msimbazi

Dejan Mzungu Contract Dejan Georgijevi?

Wed, 28 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Simba raia wa Serbia, Dejan Georgijević amethibitisha kuvunjika kwa mkataba wake na Simba SC.

Kwa mujibu wa taarifa zinadai kuwa Mkataba huo umevunjika kutokana ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba.

Dejan Georgijević kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kuvunjika kwa Mkataba huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live