Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzize kumrithi Prince Dube Azam FC

Dube X Mzize Mzize kumrithi Prince Dube Azam FC

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa ambazo hazijathibitishwa, kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa klabu ya Azam inaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji wa kati wa Yanga Clement Mzize kwa ajili ya kurithi viatu vya mshambualiaji wao Prince Dube aliyeaga klabuni hapo.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa, kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa klabu ya Azam inaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji wa kati wa Yanga Clement Mzize kwa ajili ya kurithi viatu vya mshambualiaji wao Prince Dube aliyeaga klabuni hapo. Pia Azam inaweza kukaa mezani na Yanga kubadilishana wachezaji hao wawili (Swap Deal) kulingana na mazungumzo ya dili hilo yatakavyokwenda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live