Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzize amshukuru Kocha Nabi

Clement Mzize Second Goal Mzize amshukuru Kocha Nabi

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji chipukizi wa Yanga, Clement Mzize amesema ubingwa waliochukua katika msimu huu 2022- 2023 unamaana kubwa katika historia ya maisha yake ya soka la ushindani.

“Namshukuru Kocha Nasreddine Nabi kwangu ni kama baba kutokana na ushauri anaonipa lakini pia ni mtu mwenye imani kubwa na mimi hilo linanifanya niongeza bidii na kujituma ili nimfurahishe,” amesema Mzize.

Mzize ambaye alipandishwa kwenda timu kubwa akitokea Timu ndogo ya Yanga (Under 20) mwanzoni mwa msimu huu ameonyesha uwezo mzuri akiwa amefunga mabao 5 na assist moja katika Ligi Kuu ya NBC, amefunga mabao 6 katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: