Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzize alivyowafunika akina Bocco, Dube, Kagere 2022/23

Mzize Vs Geita.jpeg Mzize alivyowafunika akina Bocco, Dube, Kagere 2022/23

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tuzo ya mchezaji bora chipukizi Tanzania Bara huenda ikaenda kwa mshambuliaji kinda wa Klabu ya Yanga, Warid Clement Mzize.

Licha ya kucheza dakika chache lakini Mzize amehusika kwenye magoli (14) katika mashindano yote msimu huu.

Ligi Kuu: Mabao 5, Assis 1, dakika 533'

Kombe la Shirikisho: Mabao 6, asists 2, dakika 294'.

Mzize amehusika katika mabao mengi kuliko washambuliaji wakubwa kwenye Ligi za Tanzania mpaka sasa kwa ujumla.

❎ John Bocco

❎ Prince Dube

❎ Idriss Mbombo

❎ Collns Opare

❎ Reliants Lusajo

❎ Medie Kagere

❎ Obrey Chirwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live