Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzize alivyoamua kukata mzizi wa Fitina Mkwakwani

Clement Mzize X Maxi Mpia Nzengeli Mzize alivyoamua kukata mzizi wa Fitina Mkwakwani

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna Mzize anaenza na huyu anaetokea benchi na ni tofauti kwa sasa hao watu wawili.

Huyu anaetokea benchi amekuwa ni hatari zaidi. Wagosi wa Kaya wamepambana kuilinda kaya yao pale Mkwakwani lakini Mzize kaingia kuukata Mzizi wa Fitina.

Coastal walijitahidi kwa kila hali kulinda lango lao na kuna nyakati walionekana kufanikiwa lakini tatizo likawa Clement Mzize.

Hana namba nzuri sana msimu huu ;lakini anakukumbusha kuwa hapaswi kusahaulika kwa wapinzani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live