Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzize abadili dini, awa Muislam

Mzize Abadili Dini Mzize abadili dini, awa muslamu

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Kinda wa Yanga, Clement Mzize amebadili Dini (Kislam) kutoka Ukristo na kuwa Muislamu.

Mzize amebadili dini na hivi sasa ataitwa Walid Mzize hii ikiwa ni Siku ya kwanza ya Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Hata hivyo taarifa hazieleza, sababu kwa za kwa nini ameamua kubadili dini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live