Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Kilomoni awashangaa viongozi wa Simba

Mzee Kilomoni Mzee Kilomoni awashangaa viongozi wa Simba

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzee Said Kilomoni, Shabiki na Mwanachama wa Klabu ya Simba amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kufanya mambo yaleyale ambayo yamekuwa yakisababisha wakose ubingwa kwa misimu mitatu sasa.

"Yaani bado sielewi ni nani anayefanya usajili pale Simba, inafahamika kuwa viongozi baadhi wamejiuzulu na Mo Dewji amerudi kwenye nafasi yake lakini sasa mbona wanaendelea kufanya usajili ule ule kama wa misimu iliyopita?

"Ukweli usemwe, huyu Lawi ni mchezaji wa kawaida sana, hafai kucheza timu kubwa kama Simba ambayo inahitaji mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake." amesema Mzee Said Kilomoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live