Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa Dkt. Mwankemwa kuzikwa Dar leo

Daktari Wa Azam FC Afariki Dunia Aliyekuwa daktari wa Azam Fc Mwanandi Mwankemwa atazikwa leo saa 10 jioni

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa daktari wa Azam Fc Mwanandi Mwankemwa atazikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kinondoni.

Mwili wa marehemu utaswaliwa msikiti wa Bakwata Kinondoni kabla ya kwenda kuzikwa.

Kwa sasa msiba upo nyumbani kwake Mwanagati.

Dk Mwankemwa alifariki dunia Februari 27, 2024 katika hospitali ya Temeke alipokuwa akipatiwa matibabu

Pumzika kwa amani Dk Mwankemwa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live