Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigulu kuleta VAR na Nyasi Bandia viwanja 10

HAKKAADD Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba

Sun, 6 Feb 2022 Chanzo: eatv.tv

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema atakaa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa ili waongee uwezekano wa kutenga bajeti ya kununua VAR na nyasi bandia.

Mwigulu ameeleza hayo kupitia Ukurasa wake wa Instagram akitolea mfano wa nafasi aliyonyimwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele kufunga goli dhidi ya Mbeya City mwamuzi akidai ameotea.

Tazama hapa chini kuona alichoandika Waziri Mwigulu Nchemba;

Chanzo: eatv.tv