Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga afariki Dunia

DG2ciTgW0AAmXxs Aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Yanga SC imani Mahugila Madega

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Yanga SC, imani Mahugila Madega amefariki Dunia leo Februari 10.

Madega alishawahi Pia Kugombea Urais wa TFF Mwaka 2017 Lakini hakufanikiwa kushinda.

Endelea kuwa karibu na Tanzaniaweb wakati huu tukifuatilia kwa kina chanzo cha msiba huu mzito wa familia ya wanamichezo nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: