Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi ajifungua na kutupa kichanga chooni

Cvdg Mwanafunzi ajifungua na kutupa kichanga chooni

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanafunzi wa miaka 17, wa kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mchinga, mkoani Lindi, (jina linahifadhiwa) amedaiwa kujifungua na kutupa kichanga katika shimo la choo.

Mwanafunzi wa miaka 17, wa kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mchinga, mkoani Lindi, (jina linahifadhiwa) amedaiwa kujifungua na kutupa kichanga katika shimo la choo. Kichanga hicho kilichozaliwa wiki iliyopita kimeokolewa na mwananchi Ally Hussein, aliyekuwa anapita njiani karibu na choo hicho baada ya kusikia sauti ya mtoto huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live