Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana Fa awauma sikio wachezaji wazawa (+Video)

Mwanafalsafa FA.jpeg Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma

Sun, 1 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma amewataka wachezaji wa kizawa kufanya vyema kwenye mashindano ya kimataifa ya klabu CAFCL na CAFCC ili kutengeneza kikosi bora cha timu ya Taifa kitakacholeta matunda mazuri kwenye michuano ya Mataifa huru Afrika (AFCON) yatakayofanyika mwakani 2024 ambayo tayari Taifa Stars imefuzu na yale yatakayofanyika 2027 ambayo Tanzania itakuwa wenyeji wa mashindano.

Sikiliza Video kwa urefu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live