Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana Fa atinga mazoezini Yanga

MwanaFA Atinga Yanga.jpeg Mwana Fa akiwa na Viongozi wa Yanga

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ ameshuhudia mazoezi ya Yanga Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini kuelekea mchezo wao na Marumo Gallants kesho mjini humo.

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ ameshuhudia mazoezi ya Yanga Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini kuelekea mchezo wao na Marumo Gallants kesho mjini humo. Yanga leo Mei 17 watakuwa wageni Marumo Gallants katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Royal Bafokeng mjini humo wakijitaji kuulinda ushindi wao wa nyumbani wa 2-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: