Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA atoa neno kwa Simba, Singida (+Video)

Hamis Mwinjuma FA Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na michezo, Hamisi Mwijuma (Mwana FA)

Sun, 1 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na michezo, Hamisi Mwijuma (Mwana FA) amezitakia kheri timu za Simba SC ambao wanacheza mchezo wao wa marudiano dhidi ya Power Dynamos kufuzu hatua ya makundi ya CAFCL na Singida Big Stars ambao watacheza dhidi ya Future FC ya Misri kufuzu hatua ya makundi Kombe la shirikisho (CAFCC).

Amezitaka kupambana ili kuwakilisha Taifa vyema kwenye mashindano hayo ya kimataifa.

Aidha ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi CAFCL ikiwa mara ya mwisho kufika kwenye hatua hiyo ilikuwa mwaka 1998.

Msikilize kwa kirefu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live