Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA atoa agizo zito kwa BMT

MWANAFA BUNGENI NEW Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma "Mwana FA"

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amelitaka Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Kuhakikishe kuwa wanakutana na Chama cha Mbio za Magari nchini (AAT) ili kuangalia namna ya kukisaidia Chama hicho kipate hekari 20 zilizoombwa kwa ajili ya eneo la mashindano na mafunzo.

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amelitaka Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Kuhakikishe kuwa wanakutana na Chama cha Mbio za Magari nchini (AAT) ili kuangalia namna ya kukisaidia Chama hicho kipate hekari 20 zilizoombwa kwa ajili ya eneo la mashindano na mafunzo. Amesema Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imepewa jukumu la kusimamia michezo yote nchini ili iwe na ufanisi mkubwa kwa kuwa michezo ni ajira kutokana na mchango wake katika mapato ya nchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live