Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA: Afrika inatutambua sisi ni nani

Hamis Mwinjuma FA Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ameandika Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma

"Kuna mahala tumepafikia na mpira wetu. Bado tuna safari ya kufanya mambo ya hivi kuwa YA KAWAIDA,ila hatupo tulipokuwa.

Asante sana Mwanamichezo namba moja nchini Mhe Rais Dkt @samia_suluhu_hassan kwa kuwa na moyo wa kuunga mkono juhudi za vijana wako bila kuchoka,unawapa sana moyo wa kuongeza juhudi na matokeo yanaonekana.

Asanteni sana Yanga na Simba kwa msimu huu mzuri kuliko yote tuliyowahi kuwa nayo Afrika. Twendeni nusu fainali sasa rekodi zinyooke zaidi. Ushindani wenu una faida kubwa kwa nchi yetu.

Na ya pili jinsi Afrika inavyotuona mbali sasa hivi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live