Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamuzi msaidizi Yanga vs Azam aondolewa kwenye ratiba

Janeth Balama Refa Janeth Balama

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi msaidizi namba moja katika mchezo kati ya Young Africans SC dhidi ya Azam FC, Janeth Balama (Iringa) ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitatu (3) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu katika mchezo tajwa hapo juu.

Mwamuzi msaidizi namba moja katika mchezo kati ya Young Africans SC dhidi ya Azam FC, Janeth Balama (Iringa) ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitatu (3) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu katika mchezo tajwa hapo juu. Mchezo huo ulimalizika kwa Wananchi kuchukua alama zote tatu kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Wanalambalamba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: