Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamuzi kuvaa Kamera kwa mara ya kwanza EPL

GridArt 20240506 123005857 780x470 Mwamuzi kuvaa Kamera kwa mara ya kwanza EPL

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi atavaa kamera ya video kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo usiku.

Jarred Gillett atatumia kifaa cha kupachikwa kiitwacho ‘RefCam’ wakati akisimamia mchezo wa Crystal Palace vs Man Utd.

Video hiyo haitaonyeshwa moja kwa moja bali Itatumika katika programu ya mara moja kutoa maarifa juu ya usimamizi wa Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live