Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamuzi apigwa pini mechi zote za Liverpool msimu huu

Darren England Darren England

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi ambaye alikuwa kwenye VAR katika mchezo wa Tottenham Hotspur dhidi ya Liverpool(Darren England) aliyefanya makosa ambayo yaliwanyima Liverpool goli ambalo lilifungwa na Luiz Diaz,

Mwamuzi ambaye alikuwa kwenye VAR katika mchezo wa Tottenham Hotspur dhidi ya Liverpool(Darren England) aliyefanya makosa ambayo yaliwanyima Liverpool goli ambalo lilifungwa na Luiz Diaz, Sasa Rasmi amesimamishwa kutokuwa miongoni mwa waamuzi katika mchezo wowote wa Liverpool kwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live