Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamuzi apasuliwa La Liga

Mwamuzi Apasuka Guadalupe Porras

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya juzi mwamuzi wa pembeni wa Mchezo baina ya Real Betis Balompié dhidi ya Athletic Club anayeitwa Guadalupe Porras aligongana kichwani kwa bahati mbaya na cameraman wa LaLiga wakati akiwa katika majukumu yake, mwamuzi huyo alishindwa kuendelea na majukumu na hivyo kubadilishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live