Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamuzi aliekataa bao la Yanga aondolewa CAF

Dahane Beida Beida Dahane

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinaeleza kuwa Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemuondoa mwamuzi Beida Dahane raia wa Mauritania kuwa mwamuzi wa mchezo wa nusu fainali wa kombe la shirikisho kati ya USM Alger dhidi ya RS Berkane na nafasi yake ikichukuliwa na mwamuzi, Aziz Abdel huku chumba cha VAR kuongozwa na mwamuzi Pierre Atcho kutoka nchini Gabon.

Taarifa zinaeleza kuwa Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemuondoa mwamuzi Beida Dahane raia wa Mauritania kuwa mwamuzi wa mchezo wa nusu fainali wa kombe la shirikisho kati ya USM Alger dhidi ya RS Berkane na nafasi yake ikichukuliwa na mwamuzi, Aziz Abdel huku chumba cha VAR kuongozwa na mwamuzi Pierre Atcho kutoka nchini Gabon. Mwamuzi Beida Dahane anakumbukwa zaidi baada ya maamuzi yenye utata kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: