Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamnyeto arudi kikosini kuivaa Namungo

Mwamnyeto Skudu.jpeg Bakari Mwamnyeto na Skudu Makudubela

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Mawasiliano na Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe akizungumza na waandishi wa habari amesema leo Septemba 18 timu hiyo inaanza mazoezi kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu itakayochezwa Juamatano dhidi ya Namungo huku nahodha Bakari Mwamnyeto ataungana na wachezaji wenzake leo baada ya kukosekana kwenye msafara kwenda Rwanda kwasababu ya matatizo ya familia.

Meneja Mawasiliano na Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe akizungumza na waandishi wa habari amesema leo Septemba 18 timu hiyo inaanza mazoezi kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu itakayochezwa Juamatano dhidi ya Namungo huku nahodha Bakari Mwamnyeto ataungana na wachezaji wenzake leo baada ya kukosekana kwenye msafara kwenda Rwanda kwasababu ya matatizo ya familia. Kamwe ametangaza viingilio katika mchezo huo wa raundi ya tatu utakaopigwa katika Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku kuwa ni Sh5,000 kwa mzunguko, VIP B Sh10,000 VIP A Sh20,000

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: