Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamnyeto aongeza kandarasi Yanga

Mwamnyetoo Znd Bakari Mwamnyeto

Wed, 3 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto anaendelea kuwa mchezaji wa Yanga baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026.

Nahodha wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto anaendelea kuwa mchezaji wa Yanga baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026. Mwamnyeto ambaye ni beki wa kati, safari yake ndani ya kikosi cha Young Africans SC ilianza Agosti 2020 alliposajiliwa akitokea Coastal Union.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live